DARASA LA UTUMISHI (dlu) - MSIMU WA 16

Darasa La Utumishi (DLU) ni mfululizo wa Madarasa yaliyojikita kutoa Maarifa katika maeneo Mbalimbali ikiwemo utumishi, Uongozi na kijamii. Katika Darasa la Utumishi Msimu wa 16 Kamati ya Maandalizi imekuandalia Masomo Matatu makubwa yatakayo kuongezea maarifa katika eneo la Uongozi, Masomo hayo ni:- 

1. Sifa za Mtumishi Kiongozi Aliye Bora

2. Wajibu wa Mtumishi Kiongozi Katika Ufalme

3. Kanuni & Taratibu za Ki-ufalme kwa Mtumishi Kiongozi


Sambamba na Masomo hayo, kutakuwa na Meza ya Majadiliano kuhusu Mtumishi kiongozi mwenye Matokeo, Pamoja na Mada (Wewe ni kile unachokula) na (Mtandao wako, Mafanikio yako)

ADA ni sh 10,000/= tu kwa ajili ya Chakula na Masomo hayo.
KUJISAJILI JAZA FORM HAPA CHINI. >>>>


FOMU YA KUJISAJILI

  •  

Copyright © GADIU NETWORK 2025. All rights are reserved.